Graphics Infos ni blog inayotoa taarifa mbalimbali kuhusu graphics and design. Tunakuletea maarifa muhimu ya ubunifu, mbinu bora za kufanya kazi na programu kama Photoshop, Illustrator, Capcut, na nyinginezo.
Tumeanzisha jukwaa hili nnamo mwaka 2024 kwa lengo la kusaidia wabunifu wa kila ngazi kuelewa na kuboresha ujuzi wao katika ulimwengu wa graphic design.
Huduma Zetu
Mbali na kutoa taarifa muhimu, tunatoa mafunzo ya graphics kwa njia ya online. Ikiwa unataka kujifunza Photoshop, Illustrator, Pixellab, Filmora, au programu nyinginezo, tunakupa mwongozo wa kina.
Dhamira Yetu
Tunajitahidi kuwa chanzo namba moja cha taarifa za graphics kwa wabunifu, wajasiriamali, na wanafunzi wa sekta hii. Lengo letu ni kukuza vipaji na kusaidia watu kuelewa jinsi ya kutumia graphic design kwa ubunifu na ufanisi.
Karibu Graphics Infos – mahali sahihi kwa taarifa na mafunzo ya graphics! 🎨🚀