r Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara (FAQ)
1. Je, graphics infos ni nini?
Graphics infos ni online platform inayohusika na utoaji wa taarifa mbalimbali kuhusu graphics and design pamoja na teknolojia kwa ujumla
2. Je, kuna shughuli nyingine tofauti na utoaji wa taarifa?
Ndio, pia tunajihusisha na ufundishaji wa maswala mbalimbali ya Graphics kwa njia ya online au ana kwa ana kwa kutumia simu au computer.
3. Graphics infos inapatikana wapi?
Hii ni platform ya online lakini pia tunamawakala wetu Morogoro, Tabora na Zanzibar unaweza kuwasiliana nao na kupata ufafanuzi ana kwa ana.
4. Nawezaji kuanza mafunzo?
Ili kuanza mafunzo unatakiwa kulipia kiwango husika kisha utaanza mafunza punde tu baada ya kulipia
5. Je, mafunzo yanatolewaje?
Mafunzo yanatolewa kwa njia ya video ambazo zimeandaliwa zipo katika mtandao wa Telegram
6. Je, kuna muda maalumu wa kujifunza?
Mafunzo yanatolewa kwa njia ya online, hivyo mtu ataweza kuchagua ni muda gani wa kujifunza kwa sababu video zote zipo rekodedi katika mtandao wa Telegram