Abobe Photoshop Course
Hii ni kozi kwa yule anayeanza kujifunza kutoka zero, hapa utajifunza utangulizi, namna ya kutumia tools mbalimbali, kuandaa logo, posters, flyers, na kazi mbalimbali kwa kutumia Adobe Photoshop.
Tsh. 5,000/=
Jiunge sasa
Canva Design Course
Hii ni course maalumu ambapo utajifunza kiundani kuhusu canva, namna ya kuitumia, namna ya kuanza editing na canva, video animation na canva, motion graphics na AI katika canva.
Tsh. 5,000/=
Jiunge sasa
Adobe Illustrator Course
Hii ni kozi ambapo utajifunza kiundani kuhusu namna ya kuitumia na kumaster program ya Adobe Illustrator, kuandaa maudhui mbalimbali kama kutengeneza proffesional logos, Banners, Stickers, Business card na Posters.
Tsh. 5,000/=
Jiunge sasa
Kutumia AI katika Graphics
Kozi hii inahusu namna ya kutumia Artificial intergence katika kuanda na kuunda maudhui kuhusu graphics.
Tsh. 5,000/=
Jiunge sasa
Video Editing
Hapa utajifunza namna ya kuandaa video na kuedit video kwa umalidadi wa hali juu kwa kutumia capcut na filmora, Utajifunza kutengeneza matangazo ya video, video effects, na nyingine nyingi.
Tsh. 5,000/=
Jiunge sasa
Channel setting & Maintenance
Haya ni mafunzo ya kufanya setting mbalimbali za channel, vikundi, accounts za mitandao mbalimbali kama whatsapp, facebook, youtube, n.k.
Tsh. 5,000/=
Jiunge sasa