r GRAPHICS DESIGN NI NINI?

GRAPHICS DESIGN NI NINI?




Watu wengi wamekuwa wakisikia kuhusu graphics design lakini ukiwauliza hawajui maana yake.

Hongera sana kwa kuwa upo sehemu sahihi ambapo utapata kujifunza zaidi kuhusu carrier hii.

GRAPHICS DESIGN imetokana na maneno mawili ammbayo ni GRAPHIC na DESIGN.

GRAPHIC - ni sanaa ya ubunifu au kuonekana au kufikilika ambapo inahusisha vitu ambavyo unaweza kuviona wakati mwingine hata kuvishika. Kwa mfano mistari, rangi na kadhalika.

DESIGN - ni maamuzi au uchaguazi kuunda kitu kabla hakijaanza kufanya kazi.

Hapa ndipo utaamua nitumie dhana gani, rangi zipi, kiweje na kiwe kinabeba taswira ipi.

Kwa ujumla sasa GRAPHICS DESIGN tunaweza kusema ni ufundi au ujuzi wa kuwasilisha ujumbe kwa kutumia maumbo, picha, rangi, nafasi, n.k.

Pia tunasema ni uwasilishaji wa mawazo yaliyoundwa kwa kutumia kanuni ya ubunifu kwa lengo la kutatua tatizo au activities mbalimbali.

Hope umejifunza kitu katika somo hili fupi, Stay humble ili upate madini mengi zaidi.

Nurul Kitab graphic, tunaamini katika kipaji chako.!

Mpya zaidi Nzee zaidi